CLEVER WEB TZ

Breaking News
Loading…

Pages

TANGAZA NASI

TANGAZA NASI
ENEZA BIASHARA YAKO

Saturday, December 14, 2019

DEREVA TOYO 03


Dereva toyo
Mtunzi:Richard Yassin
Sehemu ya 03
Kwa hiyo aendelee kulala na asipate presha.Msichana huyu kwa kufuata maagizo aliendelea kulala katika mapaja yangu.Kwa muda huo nilipatwa na msisimko wa damu kwani kichwa chake alikiweka karibu na ikulu yangu na hapo taswira yake ilianza kujengeka ya yeye kunyonya koni yangu. Taratibu jembe lilianza kunyanyuka ingawa nilijaribu kuzuia ila nilishindwa.Hali hii ilipelekea yeye kunyanyuka na cha ajabu nilishangaa mrembo huyu akitabasamu na kisha kusema," Nimefurahi kujua kuwa wewe ni mwanaume haswaa kwani natamani kama ningepata mwanaume kama wewe maana mara nyingi napata tabu sana katika ndoa yangu sijapata muda wa kukuambia.Ila usijali mengi utayajua kwa kadri tutakavyozidi kuwasiliana." Kauli hiyo ilinipa nguvu ya kuweza kuibua mashambulizi ya kuzidi kumteka na kumfanya azidi kuwa karibu yangu.Hivyo nilimjiibu kwa ufupi kwamba asijali tutazidi kuwa karibu na nitampa raha kwa nguvu zangu zote. Raha iliyoje kumpata mwanakondoo aliyejileta katika machinjio pasipo kuitwa. Punde si punde konda alitangaza kituo cha Kongowe.Nilianza kuhisi upweke ingawa sikuwa nimezoeana naye.Dada huyo alinipatia namba ya simu na kisha kunyanyuka na kuondoka kwenda kuchukua mizigo yake na kushuka garini. Niliendelea na safari hadi mwisho ambako tulingia stendi kuu ya mabasi Ubungo ambako. Itaendelea!!!!

0 comments:

Post a Comment

comment

PAKUA APP YETU

Kwa wale wapenzi wa Mziki Mzuri,filamu nzuri na Hadithi nzuri kutoka kwa waandishi mbalimbali, blog yetu ya Burudani, Tunapenda Kuwataarifu kuwa:

> Kama Hautumii App Basi tunakuomba PAKUA APP YETU MPYA HAPA Ili uweze Kupakua Nyimbo Mpya kirahisi
> Pia Utapata Taarifa kila wimbo Mpya unapotufikia.

PAKUA APP YETU MPYA HAPA
BONYEZA HAPA>http://www.mediafire.com/file/qtoi8pn4bj4dqct/Cleverwebtz.apk/file

Official android App for www.cleverwebtz.blogspot.com

This application is developed with the following key features:
• Listening Music online with latest collection of tracks
• Download Music for listening offline
• Read story from different author
•watch movies online and download
• Listen to Music and do other things with a convenient way with playing background modes, customizable through the Notification bar (notification).

PAKUA APP YETU MPYA HAPA
BONYEZA HAPA>http://www.mediafire.com/file/qtoi8pn4bj4dqct/Cleverwebtz.apk/file

Last Updates

DEREVA TOYO 14