CLEVER WEB TZ

Breaking News
Loading…

Pages

TANGAZA NASI

TANGAZA NASI
ENEZA BIASHARA YAKO

Tuesday, February 18, 2020

DEREVA TOYO 14


Dereva toyo Mtunzi:Richard Yassin Sehemu ya 14 Nilimvuta karibu na tukawa tunaangaliana nyuso zetu kwa muda. Kisha nikambusu katika paji la uso wake kabla ya ku uruhusu mkono wangu utambae katika mwili wake na kuzidi kumhadaa mama.Safari hii nilianzia mashambulizi katika ubavu wa kulia.Unene aliokuwa nao ulinifanya nizidi kumtekenya nyama zilizokuwepo katika ubavu wake.Mmh kitendo hiko kiliamsha kicheko na kwa sauti ya kudeka alilalama,"Mmh unanitekenya baby." Kwangu mimi sikuwa mgeni na uwanja ule kwani niliuzoea na ukizingatia ilikuwa ni raundi nyingine ya ulingo wa mahaba kati yetu. "Siri nzito nataka nikueleze.Nilimchombeza ili hali mikono yangu ikizidi kuchanja mbuga kuelekea eneo la Equator.Na kabla ya kutua eneo hilo,nilikutana na walinzi wawili ambao walikuwa ni skin tight pamoja na kufuli ingawa alijitanda kanga. "Baby sasa hawa walinzi umewavaa wa nini wakati unajua kuwa unaenda katika shughuli?" Nilimhoji ingawa kwa muda huo alibakia kunitazama bila majibu. "Ngoja nikuje.......Itaendelea!!!

0 comments:

Post a Comment

comment

PAKUA APP YETU

Kwa wale wapenzi wa Mziki Mzuri,filamu nzuri na Hadithi nzuri kutoka kwa waandishi mbalimbali, blog yetu ya Burudani, Tunapenda Kuwataarifu kuwa:

> Kama Hautumii App Basi tunakuomba PAKUA APP YETU MPYA HAPA Ili uweze Kupakua Nyimbo Mpya kirahisi
> Pia Utapata Taarifa kila wimbo Mpya unapotufikia.

PAKUA APP YETU MPYA HAPA
BONYEZA HAPA>http://www.mediafire.com/file/qtoi8pn4bj4dqct/Cleverwebtz.apk/file

Official android App for www.cleverwebtz.blogspot.com

This application is developed with the following key features:
• Listening Music online with latest collection of tracks
• Download Music for listening offline
• Read story from different author
•watch movies online and download
• Listen to Music and do other things with a convenient way with playing background modes, customizable through the Notification bar (notification).

PAKUA APP YETU MPYA HAPA
BONYEZA HAPA>http://www.mediafire.com/file/qtoi8pn4bj4dqct/Cleverwebtz.apk/file

Last Updates

DEREVA TOYO 14