CLEVER WEB TZ

Breaking News
Loading…

Pages

TANGAZA NASI

TANGAZA NASI
ENEZA BIASHARA YAKO

Tuesday, December 24, 2019

DEREVA TOYO 06

Dereva toyo Mtunzi:Richard Yassin Sehemu ya 6 Nikitokea Same."Kauli yake iliibua furaha kwani niliona nimejaliwa sana kitendo cha yeye kunitafuta suala ambalo lilitusogeza zaidi na kuongeza chachu ya ushindi wa mahaba. Tuliongea mengi ila kikubwa ilikuwa ni kukumbushiana matukio ya ndani ya basi.Na kisha tuliagana na yeye kukata simu.Punde niliitwa na ma Abasi nje nami sikukataa wito ilinilazimu kwenda kusikiliza."Najua umechoka ila naomba ukanisaidie kuweka taa ya chumbani mana punde giza litaingia na mimi ni muoga.Siyo siri mapigo ya moyo yaliongezeka kwani mazingira yake yalinipa kigugumizi.Sikutaka nionyeshe dalili ya kukataa ila nilijipa moyo konde kuwa liwalo na liwe.Nilimuomba mama huyo anipe dakika chache za kujiandaa walau nivae shati mana nisingeweza ingia ndani kwake kifua wazi. Nilingia chumbani kwangu nikavaa shati na kisha kwenda hadi chumbani chake.Mh leo nikitoka humu salama nikushukuru Mungu maana mazingira yake sikuyaelewa kwani chumba kilinukia manukato.Na mara nilipogeuka pembeni nilishangaa kuona amevaa kanga moja."Usiogope karibu sana taa yenyewe ndo hii." Mama yule alinyanyuka kitandani na kunipatia taa hiyo nami niliipokea kisha nikapanda juu huku nikimuamuru ashikilie stuli. Sikujua kama kitendo kile kingempa nafasi ya kufanya kituko kwa kuangusha kanga yake na kubaki mtupu.Ila nilijikaza kwani nilikuwa juu ya stuli na laiti kama ningeendekeza tamaa ya kumuangulia yeye ningeshakua kilema kwa kuanguka chini.Hivyo niliona ni vyema niweke taa na kisha kushuka chini huku nikimuamuru akawashe tuone kama tatizo limeisha au lah? Mama huyu alikuwa ni fundi kwani aliweza kuzungusha nyonga yake vyema na kuacha msambwanda wake ukienda Singida Dodoma. Safari hali ilikuwa mbaya kwangu kwani alipogeuka tu sikuamini kwa umri ule angekuwa vile.Kwani kitumbua chake kilichojaa nyama kilinyolewa vizuri na kuacha shamba likiwa safi haswa.Vile vile mapaja yake yalijaa vyema na hivyo kukifanya kitumbua hiko kitengeneza herufi V.Mate yalianza kunidondoka ila nilikuwa nawaza je nitaanzaje kumfanya anikubalie kunipa utamu.Na safari hii suruali yangu haikuongopa ilituna balaa hadi ikanilazimu nikae kitandani kwa muda ili ni......Itaendelea!!!

0 comments:

Post a Comment

comment

PAKUA APP YETU

Kwa wale wapenzi wa Mziki Mzuri,filamu nzuri na Hadithi nzuri kutoka kwa waandishi mbalimbali, blog yetu ya Burudani, Tunapenda Kuwataarifu kuwa:

> Kama Hautumii App Basi tunakuomba PAKUA APP YETU MPYA HAPA Ili uweze Kupakua Nyimbo Mpya kirahisi
> Pia Utapata Taarifa kila wimbo Mpya unapotufikia.

PAKUA APP YETU MPYA HAPA
BONYEZA HAPA>http://www.mediafire.com/file/qtoi8pn4bj4dqct/Cleverwebtz.apk/file

Official android App for www.cleverwebtz.blogspot.com

This application is developed with the following key features:
• Listening Music online with latest collection of tracks
• Download Music for listening offline
• Read story from different author
•watch movies online and download
• Listen to Music and do other things with a convenient way with playing background modes, customizable through the Notification bar (notification).

PAKUA APP YETU MPYA HAPA
BONYEZA HAPA>http://www.mediafire.com/file/qtoi8pn4bj4dqct/Cleverwebtz.apk/file

Last Updates

DEREVA TOYO 14