CLEVER WEB TZ

Breaking News
Loading…

Pages

TANGAZA NASI

TANGAZA NASI
ENEZA BIASHARA YAKO

Friday, December 20, 2019

DEREVA TOYO 04

Dereva toyo Mtunzi:Richard Yassin Sehemu ya 4 Ambako nilichukua bajaji hadi Mawasiliano na kupanda gari za kwenda Gongo la Mboto katika makazi yangu ya awali.Ujio wangu uliwashangaza wengi kwani wengi wao mara baada ya kupata kazi mkoani Kilimanjaro,walijua kuwa maisha ya Dar es Salaam yalishanishinda hivyo kujua ya kwamba sitarudi tena. "Karibu sana mwanampotevu maana tulijua kuwa hautarudi tena jijini."Ilikuwa ni sauti ya Ma Abasi aliyekuwa akinikaribisha huku akinipokea mizigo yangu.Kutokana na uchovu nilijitupa kama gogo katika kiti ili niweze kupumzika. Siyo siri kwani mama huyu alijua hitaji langu lilikuwa ni lipi kwani nililetewa chakula ili nipoze njaa.Na kwa muda huo nilikula na kushiba.Na mara baada ya kushiba nilshukuru na kisha kwenda katika chumba changu ili niweze kupumzika.Ila nilipojitupa kitandani mawazo yangu yalikuwa juu ya yule mrembo tuliyekaa wote katika basi nilianza kum miss ingawa hatukuwa tume.....Itaendelea!!!

0 comments:

Post a Comment

comment

PAKUA APP YETU

Kwa wale wapenzi wa Mziki Mzuri,filamu nzuri na Hadithi nzuri kutoka kwa waandishi mbalimbali, blog yetu ya Burudani, Tunapenda Kuwataarifu kuwa:

> Kama Hautumii App Basi tunakuomba PAKUA APP YETU MPYA HAPA Ili uweze Kupakua Nyimbo Mpya kirahisi
> Pia Utapata Taarifa kila wimbo Mpya unapotufikia.

PAKUA APP YETU MPYA HAPA
BONYEZA HAPA>http://www.mediafire.com/file/qtoi8pn4bj4dqct/Cleverwebtz.apk/file

Official android App for www.cleverwebtz.blogspot.com

This application is developed with the following key features:
• Listening Music online with latest collection of tracks
• Download Music for listening offline
• Read story from different author
•watch movies online and download
• Listen to Music and do other things with a convenient way with playing background modes, customizable through the Notification bar (notification).

PAKUA APP YETU MPYA HAPA
BONYEZA HAPA>http://www.mediafire.com/file/qtoi8pn4bj4dqct/Cleverwebtz.apk/file

Last Updates

DEREVA TOYO 14